Uncategorized

SIMBA KUANZA MAZOEZI RASMI LEO JUMATATU

admin August 17, 2020 2:47 am

 

KIKOSI cha Simba leo Agosti 11, Jumatatu, kinatarajia kuanza mazoezi kwa ajili ya maandalizi ya msimu wa 2020/21.

Pia itakuwa ni maandalizi kuelekea kilele cha Simba day ambacho itakuwa ni Agosti 23, Uwanja wa Mkapa na Uwanja wa Uhuru.

Uwanja wa Mkapa itapigwa mechi na timu ambayo itatambulishwa leo na Uwanja wa Uhuru itafungwa ‘Big Screen ‘ kwa ajili ya mashabiki kutazama mechi yao.

Miongoni mwa matukio ambayo yameshafanywa kabla ya kilele cha Simba day ni pamoja na suala la kufanya usafi kwenye fukwe ya Bahari ya Hindi, kufanya dua, kutambulisha wachezaji wapya.

HII HAPA CV YA KOCHA ANAYETAJWA KUTUA YANGA ORODHA YA WACHEZAJI TISA WALIOACHWA KAGERA SUGAR, NYOSO PIA YUMO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply