Uncategorized

SIMBA DAY AGOSTI 22 NI DHIDI YA TIMU YA BURUNDI,MAJEMBE HAYA KUTAMBULISHWA

admin August 18, 2020 1:47 pm

 

AGOSTI 22, Klabu ya Simba inatarajiwa kucheza mchezo wa kimataifa wa kirafiki dhidi ya Klabu Vital’O  FC ya kutoka nchini Burundi.


Mchezo hui utapigwa Uwanja wa Mkapa, majira ya saa 11:00 jioni.

Siku hiyo ni rasmi kwa ajili ya kuwatambulisha wachezaji wapya na wale wa zamani ambao ni mali ya Simba ambao ni mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara.

Miongoni mwa wachezaji wapya ni pamoja na Bernard Morriosn, Larry Bwarya, Charlse Ilanfya huku wale wa zamani ikiwa ni pamoja Ibrahim Ajibu, Said Ndemla, Meddie Kagere, John Bocco.
NDEMLA ASAINI MIAKA MIWILI SIMBA MUANGOLA HUYU AINGIA ANGA ZA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply