Uncategorized

JEMBE JIPYA LA KAZI LATUA LEO KUMALIZANA NA YANGA

admin August 21, 2020 2:47 pm

 

RASMI mshambuliaji Michael Sarpong raia wa Ghana leo Agosti 21 ametua Bongo kwa ajili ya kumalizana na mabosi hao ambao wanaimarisha kikosi chao.


Sarpong yeye alikuwa anakipiga ndani ya Rayon Sports ya Rwanda na ametua leo ili kuongeza nguvu kwenye kikosi hicho.


Habari zinaeleza kuwa dili lake la awali ambalo alisaini ilikuwa ni la miaka miwili.

MORRISON APEWA JEZI YA SANTOS MEDDIE KAGERE NDANI YA NYUMBA, KESHO KILELE CHA SIMBA DAY

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply