Uncategorized

MASHINE HII YA KAZI YATAJWA KUTUA LEO KUMALIZANA NA YANGA

admin August 21, 2020 10:47 am

 Mshambuliaji mghana, Michael Sarpong anatarajiwa kutua nchini Tanzania leo akitokea nchini Ghana kuja kumalizana na Klabu ya Yanga.


Kwa sasa Yanga inajiimarisha kwa kusajili wachezaji wapya pamoja na kuboresha mikataba ya wachezaji wake wa zamani ili kuzidi kuwa na kikosi imara kwa ajili ya msimu wa 2020/21.


Jana iliwashusha wachezaji wawili kutoka Congo ambao ni pamoja na Tuisila Kisinda, Tonombe Mukoko kwa dili la miaka miwili wote wametokea Klabu ya AS Vita.

SIMBA YAAGIZA GPS ZA WACHEZAJI, LENGO KUWAFUATILIA KILA HATUA MORRISON APEWA JEZI YA SANTOS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply