Uncategorized

VIDEO: HAJI MANARA ANAFUNGUKA YOTE KUHUSU SENZO, BENARD MORRISON, KUELEKEA SIMBA DAY KESHO…

admin August 21, 2020 7:47 am

  

HAYA ni Mahojiano maalum na msemaji wa mabingwa wa nchi, Simba SC, Ndugu Haji Manara, akizungumzia masuala mbalimbali kuhusu klabu hiyo ikiwa ni siku moja tu imebaki kufikia Agosti 22, kwenye kilele cha SIMBA DAY kitakachofanyika kwenye viwanja viwili Uwanja wa Mkapa na Uhuru… 

 

Aidha Manara amezungumzia kuhusu kuondoka kwa aliyekuwa C.E.O wa Simba, 

 

Senzo Mazingiza, ambaye kwa sasa amejiunga na Yanga, lakini pia usajili wao walioufanya kwa msimu huu… ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx

SENZO AMJIBU MOO DEWJI, ATAJA MKATABA WA LUIS MIQUISONE SIMBA SC YANGA WAAENDELEA KUIVUTIA KASI RAYON SPORTS

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply