Uncategorized

MASHABIKI WAJISHINDIA TIKETI KUTOKA SPOTI XTRA UWANJA WA MKAPA

admin August 30, 2020 9:47 am

 

Mapema leo Agosti 30, 2020 Mkuu wa kitengo cha Masoko Global Publishers, Adam Antony ameongoza zoezi la kuwakabihi tiketi za kuingilia uwanjani kushuhudia sherehe za  Kilele cha Wiki ya Mwananchi ambapo mashabiki wamejitokeza kwa wingi.

 

Walikabidhi mashabiki ambao walikutwa wakilisoma gazeti hilo katika viunga vya uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam.









MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI AJIFUNGA MIAKA MIWILI AZAM FC CORONA YAWAVURUGA WADAU,POGBA,TAMMY CHINI YA UANGALIZI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply