Uncategorized

MCHEZAJI BORA CHIPUKIZI AJIFUNGA MIAKA MIWILI AZAM FC

admin August 30, 2020 9:47 am

 Mchezaji Bora Chipukizi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) msimu uliopita, Novatus Dismas, ameongeza mkataba mpya wa miaka miwili zaidi kuendelea kusalia Azam FC.

Dismas alikuwa anakipiga ndani ya Klabu ya Biashara United FC kwa mkopo msimu wa 2019/20.

Kiungo huyo mkabaji aliye kwenye kiwango bora, ataendelea kusalia katika viunga vya Azam Complex hadi mwaka 2023.

ISHU YA YANGA KUITAKA SAINI YA CHAMA IPO HIVI MASHABIKI WAJISHINDIA TIKETI KUTOKA SPOTI XTRA UWANJA WA MKAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply