Uncategorized

NYOTA HAWA WANNE WA KIKOSI CHA KWANZA SIMBA KUIKOSA NAMUNGO LEO

admin August 30, 2020 6:47 am


 LEO Agosti 30, Simba inashuka Uwanja wa Amri Sheikh Abeid kumenyana na Klabu ya Namungo kwenye mchezo wa Ngao ya Jamii utakaopigwa majira ya 9:00 alasiri.


Mchezo huu ni maalumu kwa ajili ya ufunguzi wa Ligi Kuu Bara inayotarajiwa kuanza Septemba sita.


Simba inayonolewa na Kocha Mkuu, Sven Vandenbroeck inatarajiwa kukosa huduma ya nyota wake wa kikosi cha kwanza wanne kutokana na sababu mbalimbali kwa mujibu wa kocha mwenyewe ambao ni:-

Beki wa kati raia wa Ivory Coast, Pascal Wawa.


Luis Miqussone kiungo mshambuliaji raia wa Msumbiji.


Gerson Fraga kiungo mkabaji raia wa Brazili na Chris Mugalu yeye ni mshambuliaji.

SIKU MPYA YA JEMBE JIPYA YA YANGA KUTUA HII HAPA AUBA ACHEKELEA KUTWAA MATAJI MAWILI ULAYA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply