Uncategorized

MVURUGANO WA MO NA KIGWANGALA UMEFIKIA HAPA

admin September 6, 2020 11:47 am

 JANA Septemba 5 baada ya uongozi wa Simba kumtangaza Mtendaji Mkuu mpya wa klabu hiyo kuwa Barbara Gonzalez kuliibuka mvurugano mkubwa wa maneno ya hoja kwenye mitandao ya kijamii kati ya mheshimiwa Hamisi Kigwangala na Mwenyekiti wa Bodi ya Simba, Mohamed Dewji suala kubwa likiwa ni vigezo vya kumpata mrithi huyo wa Senzo Mbatha ambaye yupo Yanga.


Pia Kingwangala aligusia ishu ya bilioni 20 ambapo anaeleza kuwa kwa mujibu wa katiba muda wa kuweka fedha hizo umekwisha na hakuna kinachoendelea na mwisho alimaliza kwa kusema kuwa ameambiwa aache hivyo hataendelea tena kuzungumzia masuala ya uwekezaji. 


Hizi hapa baadhi ya jumbe zao ambazo zimekuwa zikisambaa kwa kasi:-

KATI YA MORRISON, TUNOMBE,KISINDA,SARPONG, HUYU HAPA AMEWAPOTEZA WOTE HUYU HAPA NDIYE CHAGUO NAMBA MOJA KWA SVEN KATI YA BOCCO, KAGERE NA MUGALU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply