Uncategorized

KMKM WATIA TIMU DAR, KIINGILIO BUKU TANO TU

admin September 30, 2020 7:47 am

 


TIMU ya KMKM SC ya Zanzibar  imewasili leo Septemba 30 Dar tayari kwa mchezo wa kirafiki leo dhidi ya Yanga utakaochezwa Uwanja wa Azam Complex.

Mchezo huo wa kirafiki unatarajiwa kupigwa majira ya saa 1:00 usiku ukiwa na malengo ya kukiweka sawa kikosi cha Yanga kwa ajili ya mechi za Ligi Kuu Bara.

Mechi hiyo kiingilio cha 5,000 mzunguko na 10,000 VIP. 


Yanga inayonolewa na Kocha Mkuu, Zlatko Krmpotic ipo kwenye maandalizi ya mchezo wa ligi dhidi ya Coastal Union unaotarajiwa kuchezwa Oktoba 3, Uwanja wa Mkapa.

MWINYI ZAHERA: SIMBA INA KIKOSI BORA MSIMU WA 2020/21 AZAM FC YAANZA KUJIWEKA MGUU SAWA KWA AJILI YA KUMENYANA NA KAGERA SUGAR

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply