Uncategorized

KOCHA GOR MAHIA AACHIA NGAZI

admin October 10, 2020 6:47 am


 MABINGWA wa Ligi Kuu ya Kenya Gor Mahia wameachana na kocha Steven Polack. Gor Mahia wamethibitisha kuwa wameachana na Kocha Mkuu Steven Polack kwa makubaliano ya pande zote.

 

Polack aliandika barua kwa klabu akielezea kwamba kuporomoka kwa uchumi kumeathiri sana timu na biashara kote ulimwenguni na ndio sababu yake ya kuamua kuondoka.

 

“Klabu na mimi tumefika makubaliano ya pamoja kumaliza mkataba wangu kutokana na mtikisiko wa uchumi na janga la Corona ambalo haliathiri Gor Mahia tu bali pia vilabu vingine na wafanyabiashara kote ulimwenguni,” ilisema barua ya Polack.

ARSENAL WALIWASILISHA DILI LA KUMTAKA PARTEY DAKIKA 32 KABLA DIRISHA LA USAJILI KUFUNGWA YANGA: TIMU NYINGI ZINATUKAMIA,ILA HATUOGOPI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply