Uncategorized KOCHA MTIBWA AIBUKIA IHEFU admin October 19, 2020 4:47 am Zuber Katwila sasa ni Kocha Mkuu wa Ihefu baada ya kubwaga manyanga Mtibwa Sugar akichukua mikoba ya Maka Mwalwisi aliyefutwa kazi Oktoba 6.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.