Uncategorized

OKTOBA 26 SIMBA KAZINI TENA

admin October 24, 2020 5:47 am

 

KIKOSI cha Simba kina kibarua kingine tena Oktoba 26 kumenyana na timu ya Ruvu Shooting ambayo nayo ni mwendo wa kijeshi ndani ya uwanja kama ilivyo Tanzania Prisons.

Simba wakiwa wametoka kuchezeshwa ligwaride na Tanzania Prisons Oktoba 22 Uwanja wa Nelson Mandela kwa kufungwa bao 1-0 wana kazi nyingine ya kufanya Uwanja wa Uhuru.

Kocha Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroek amesema kuwa matokeo ambayo waliyapata nyuma ni sehemu ya mchezo hivyo watafanyia kazi makosa yao.
YANGA YAWASILI MWANZA, MMOJA KUWAKOSA KMC KESHO RUVU SHOOTING: WAO WANA PIRA BIRIANI SISI TUNA PIRA KAVUKAVU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply