Uncategorized

VPL: KMC 1-1 YANGA

admin October 25, 2020 1:47 pm

 


Dakika 45 zinakamilika inaongezwa dk 1

Paul Peter anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 40 Tuisila Kisinda anafunga Goooal kwa Yanga
Dakika ya 39 Yanga wanapata penalti

Dakika ya 36 Dante anapewa huduma ya kwanza
Dakika ya 36 Fei Toto anapeleka mashambulizi kwa Kaseja
Dakika ya 29 Yanga inapata faulo karibu na 18

Dakika ya 26 Hassan Kabunda Gooool nje ya 18 na anaonyeshwa kadi ya njano
Dakika ya 20 Kaseja anaanzisha mashambulizi 

Dakika 15 zimekamilika bila timu kufungana, Kenny Ally alifanya jaribio kwa Mnata ila ilikuwa ni offtarget
Dakika ya 13 Metacha Mnata anaanzisha mashambulizi kwenda kwa Kaseja

Dakika ya 9 Fei Toto anachezewa faulo na Emmanuel Mvuyekure
Dakika ya 8 Fei Toto anapoteza pasi 
Dakika ya 6 Yanga wanaanzisha mashambulizi 
Dakika ya 3 Deus Kaseke alipiga faulo haikuwa matunda.
Dakika ya 1 KMC walipiga kona haikuzaa matunda


OKTOBA 25, Uwanja wa CCM Kirumba


KMC 0-0 Yanga


Mwamuzi wa kati ni Ramadhan Kayoko

JESHI LA KMC LITAKALOANZA LEO DHIDI YA YANGA UWANJA WA KIRUMBA ADAM ADAM AWEKA REKODI YAKE WAKATI JKT TANZANIA IKIITUNGUA MABAO 6-1 MWADUI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply