Uncategorized

SIMBA MAMBO MAZITO,YAWEKA REKODI YA DAKIKA 45

admin October 26, 2020 2:47 pm

 

SIMBA ndani ya dakika 45 kwa mechi za leo kwa mechi ambazozimechezwa leo kwa kuwa imekuwa ya kwanza ambayo imeruhusu bao la mapema dakika ya 35 kwa kufungwa na Fuly Zully Maganga.


Mpaka muda wa mapumziko kwenye ligi leo ambapo kuna mechi tatu zinaendelea ni Simba ilifungwa.

Timu nyingine ambazo zipo uwanjani na zilimaliza dakika 45 bila kufungwa ni vinara Azam FC ambao walikwenda mapumziko bila kufungana na Mtibwa Sugar Uwanja wa Jamhuri.

Pia Dodoma Jiji ikiwa Uwanja wa Jamhuri Dodoma ilikwenda kwenye vyumba vya kubadilishia nguo ikiwa imetoshana nguvu na Tanzania Prisons.
KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA RUVU SHOOTING, AJIBU, KAKOLANYA NDANI VPL: SIMBA 0-1 RUVU SHOOTING

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply