Uncategorized

MWAKINYO AMCHAPA KWA TKO MUARGENTINA

admin November 14, 2020 5:47 am


HASSAN Mwakinyo, bondia Mtanzania amesema kuwa alijipanga kuibuka na ushindi mbele ya mpinzani wake Jose Carlos Pazi wa Argentina jambo lililompa ushindi.


 Bondia Mwakinyo usiku wa kuamika leo  amefanikiwa kuetetea mkanda wake wa WBF Intercontinental Super Welterweight.


Mwakinyo amemchapa Paz wa Argentina kwa TKO raundi ya nne kwenye Ukumbi wa Next Door Arena.


“Nilikuwa nimejipanga kushinda na ninafurahi kushinda katika hili huu ni ushindi wa Tanzania kiujumla, mashabiki pamoja na Serikali ambayo inanipa sapoti,” amesema.
MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMAMOSI AUBAMEYANG MAMBO MAGUMU ARSENAL KWA SASA BAADA YA KUSAINI DILI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply