Uncategorized

VINARA WA UTUPIAJI NDANI YA UWANJA KATI YA AZAM FC V YANGA

admin November 25, 2020 5:47 am

 


HAWA hapa wametupia mabao mengi wakati Azam FC ilipomenyana na Yanga walipokutana ndani ya uwanja baada ya Azam FC inayonolewa na Aristica Cioba kwa sasa kupanda Ligi Kuu Bara msimu wa 2008/09.


John Bocco (Azam FC) mabao 10 kwa sasa anakipiga ndani ya Simba.


Kipre Tchetche (Azam FC) mabao 5, kwa sasa yupo zake Kedah FA.


Didier Kavumbangu (Kotekote) 

Alitupia mabao 5.


Mabao 3 (Akiwa Yanga alitupia mabao 2 akiwa Azam FC.


Hamis Kiiza (Yanga) alitupia mabao 4


Boniface Ambani (Yanga)  alitupia mabao 4


Obrey Chirwa (Yanga) alitupia mabao 2


Ni wachezaji wawili tu ambao wameshawahi kufunga bao kwenye mechi baina ya timu hizi, na bado wapo hadi leo.


Salum Abubakary wa Azam FC, amefunga bao moja


Obrey Chirwa wa Yanga, amefunga mabao 2. Lakini naye kwa sasa yuko Azam FC.

BARCELONA YATINGA 16 BORA BILA MESSI JEMBE LINALOPIGIWA HESABU NA SIMBA LAINGIA ANGA ZA YANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply