Uncategorized

VPL:AZAM FC 0-1YANGA

admin November 25, 2020 5:08 pm

 

Dakika ya 48 Kaseke Goooool
Dakika ya 47 Yanga wanaanzisha mashambulizi kwenda kwa kissu

KIPINDI cha pili kimeanza
UWANJA wa Azam Complex 


Novemba 25


Ligi Kuu Bara 


Azam FC 0-0 Yanga

Mapumziko 


Zinaongezwa dakika 3

Dakika 43 Kissu anafanya save

Dakika ya 37 Yacouba anafanya jaribio linakwenda nje ya lango 

Dakika ya 34 Djod anaonyeshwa kadi ya njano. 

Dakika ya 27 Mnata anaokoa hatari

Dakika ya 26 Yassin anacheza faulo

Dakika ya 24 Prince Dube anafanyiwa mabadiliko ya lazima anaingia Djod

Dakika ya 23 Yacouba anaotea

Dakika ya 19 Lamine anaokoa hatari

Dakika ya 16 Dube anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 10 Azam wanapeleka mashambulizi kwa Mnata


Dakika ya 9 Nondo anaanua majalo


Dakika ya 8  Mudhathir anapaisha


Dakika ya 7 Dube anachezewa faulo


Dakika ya 6 Kissu anaokoa hatari

Dakika ya 5 Nchimbi anasababisha kona haizai matunda


Dakika ya 4 Mustapha Yassin anafanya jaribio

KOCHA IHEFU FC APIGA HESABU ZA KUSAJILI WAZOEFU DIRISHA DOGO BREAKING:GWIJI MARADONA AFARIKI DUNIA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply