Uncategorized

AZAM FC YAZITAKA POINTI TATU ZA GWAMBINA

admin December 2, 2020 10:47 am


 UONGOZI wa Azam FC umesema kuwa makosa ambayo yalitokea kwenye mchezo wao dhidi ya Biashara United watayafanyia kazi ili kupata matokeo kwenye mchezo dhidi ya Gwambina FC. 


Ofisa Habari wa Azam FC, Zakaria Thabit amesema:”Tupo nyumbani na mashabiki wapo wengi ambao wamejitokeza kutupa sapoti, mechi sita zilizopita tumepata pointi tano

hatu

Mechi muhimu kwetu tunataka kutuma kurudisha morali, kwa sasa tupo Mwanza tutapambana kupata matokeo mazuri kwenye mchezo wetu dhidi ya Gwambina.


“Mchezo wetu uliopita tumegundua mengi ambayo tutayafanyia kazi kwani tulikuwa kwenye nafasi nzuri ya kushinda ila haikuwa hivyo zaidi wapinzani wetu walikuwa nao kwenye ushindani mkubwa,” amesema.

KATWILA: DIRISHA DOGO TUTAFANYA USAJILI UTAKAOTUBEBA JESHI LA NGORONGORO HEROES LEO LA FAINALI YA CECAFA,ARUSHA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply