Uncategorized

VPL: MBEYA CITY 0-1SIMBA

admin December 13, 2020 1:47 pm

 

Dakika ya 41 Ndemla anafanya jaribio nje ya 18 linakwenda juu ya lango
Dakika ya 33 Goooooal John Bocco

Dakika 30 Mbeya City wanaanua majalo

Dakika ya 28 Mbeya City wanapiga kona moja sawa na Simba zote hazijawa na faida
Dakika ya 22 Chama anapiga faulo haizai matunda inaanuliwa na mabeki.

Dakika ya 21 Mpoki Mwakinyuke anaonyeshwa kadi ya njano.


Dakika ya 20 kipa wa Mbeya City Lamek anaokoa hatari ndani ya 18

KIPINDI cha Kwanza Uwanja wa Sokoine 


Mbeya City 0-0 Simba


Dakika  15 za mwanzo zimekamilika kwa timu zote kutoshana nguvu ndani ya Uwanja wa Sokoine. 

SIMBA WATANGAZA MCHAKATO WA UCHAGUZI WA MWENYEKITI YANGA YAWASHUKURU MASHABIKI BAADA YA KUSHUSHA 5G

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply