Uncategorized

BARAKA MAJOGORO AZIINGIZA VITANI YANGA NA SIMBA

admin December 22, 2020 4:47 am


BARAKA Majogoro,  nyota anayekipiga ndani ya kikosi cha Mtibwa Sugar anatajwa kuingia kwenye rada za mabosi wa mitaa ya Kariakoo, Simba na Yanga.


Kiungo huyo mkabaji mzawa amekuwa na uwezo mkubwa ndani ya Uwanja jambo lilowavutia mabosi wa Klabu za Simba na Yanga.


Mbali na timu hizo pia JKT Tanzania wanatajwa kuwania saini ya kiungo huyo mkabaji.


Majogoro amesema kuwa kwa sasa yeye ni mali ya Mtibwa Sugar.

ISHU YA MZAMBIA KUIBUKIA NDANI YA SIMBA IMEKAA NAMNA HII BEKI SIMBA KUIBUKIA UTURUKI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply