Uncategorized
NYOTA GWAMBINA KUMRITHI DUBE NDANI YA AZAM FC
MTUPIAJI namba moja wa timu ya Gwambina FC, Meshack Abraham mwenye mabao 6 ameingia kwenye rada za Azam FC ambao kwa sasa wanamsaka mbadala wa mshambuliaji wao Prince Dube.
Dube ndani ya Ligi Kuu Bara ndani ya Azam FC inayonolewa na George Lwandamina ametupia jumla ya mabao 6 na ana pasi nne za mabao.
|
|
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.