Uncategorized

SIMBA WARUDI DAR KINYONGE, MASHABIKI WATAMBIANA WAKIWAPOKEA

admin January 14, 2021 2:47 pm

 

Kikosi cha Simba leo Januari 14, 2021 kimewasili salama jijini Dar es Salaam kikitokea Zanzibar baada ya kukosa ubingwa wa Kombe la Mapinduzi kwa kufungwa na  watani wao, Yanga kwa penalti 4-3, katika fainali ya Mapinduzi kwenye Uwanja wa Amaan iliyofanyika usiku wa kuamkia leo.




MWENYEKITI WA YANGA AFUNGUKA BAADA YA KUTUA BANDARINI DAR, YANGA KUTUA KESHO MAJEMBE MAWILI YAANZA KAZI RASMI AZAM FC

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply