kimataifa

KIKOSI BORA CHA OZIL NDANI YA ARSENAL

admin January 25, 2021 4:47 am

 BAADA ya nyota wa kikosi cha Arsenal,  Mesut Ozil kusepa ndani ya kikosi hicho na kuibukia ndani ya Fenerbahche ameweza kutaka kikosi chake bora ndani ya Arsenal. 

Katika kikosi hicho nyota huyo naye pia amejijumuisha  yeye pia pamoja na Sanchez na Gnabry ambapo watacheza nyuma ya Pierre Emerick Aubameyang. 

Hiki hapa kikosi bora cha Ozil:

1. David Ospina

2.Bacary Sagna

3.Laurent Koscienly

4.Per Mertesacker 

5.Sead Kolasinac

6.Santi Cazorla 

7.Aaron Ramsey 

8.Mesut Ozil 

9.Serge Gnabry

10.Alexis Sanchez 

11.Pierre Aubameyang 

MUONEKANO WA UKURASA WA MBELE GAZETI LA CHAMPIONI JUMATATU SHEVA AMKUMBUKA SVEN NDANI YA SIMBA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply