news

LEO NI SIKU YA KUMBUKIZI YA KULETWA DUNIANI JEMBE

admin February 2, 2021 1:47 pm


 ANAANDIKA Saleh Jembe

Maisha ni msaada na zawadi kubwa kutoka kwa Mungu.


LEO NI SIKU YANGU YA KUZALIWA…

Nipo ndani ya wale wanaostahili kupokea zawadi kutoka kwa Allah, namshukuru sana kwa maisha na muongozo.

Nawashukuru familia yangu ambao wako karibu nami, rafiki zangu na wafanyakazi wenzangu.

Nawashukuru wadau wa soka ambao wamekuwa familia yangu pia, tunaishi pamoja kwa ukaribu, iwe ana kwa ana au kwingineko lakini mwisho ni maisha ambayo ni zawadi tuliyopewa bila kuambiwa mwisho wake lini.

Wakati nimeongeza mwaka na kushukuru, NAMSHAURI KILA MMOJA kuwa itumie VIZURI NA KWA FAIDA zawadi yako ya kuishi kwa kuwa haujui ITAISHA LINI.

AZAM WAMWEKEA ULINZI DUBE MATUKIO KATIKA PICHA KINACHOENDELEA KWENYE KAMBI YA YANGA (MWANANCHI MEDIA DAY)

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply