Simba SC

SIMBA WAANZA SAFARI YA KUIFUATA VITA DR CONGO

admin February 9, 2021 12:47 pm


 KIKOSI cha mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara, klabu ya Simba tayari kimewasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere, kwa ajili ya kuanza safari yao ya kwenda nchini DR Congo kwa ajili ya mchezo wa Ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya AS Vita.

Simba inatarajiwa kuivaa Vita katika mchezo wa kwanza wa kundi A hatua ya makundi Ligi ya mabingwa Afrika, mchezo utakaopigwa siku ya Ijumaa Februari 12, mwaka huu.

KAZE ARIDHISHWA NA MAANDALIZI YA YANGA DHIDI YA MBEYA CITY ORODHA YA NYOTA 23 WA AZAM FC WALIOIBUKIA TANGA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply