Home Ligi Kuu MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII

MSIMAMO WA LIGI KUU BARA UPO NAMNA HII

0

 MSIMAMO wa Ligi Kuu Tanzania Bara baada ya Mbeya City kutoshana nguvu na Yanga kwa kufungana bao 1-1, Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

Pia Biashara United ilishinda mabao 2-1 dhidi ya Mwadui FC, Uwanja wa Mwadui Complex na kusepa na pointi tatu mazima.