Ligi Kuu

RATIBA YA LIGI KUU BARA LEO BONGO

admin February 16, 2021 7:47 am


 LEO Februari 16, Ligi Kuu Tanzania Bara inaendelea ikiwa ni mzunguko wa pili ambapo mechi mbili kali zitapigwa viwanja viwili tofauti.

Gwambina iliyo nafasi ya 15 na pointi 20 baada ya kucheza mechi 18 inakutana na Ruvu Shooting iliyo nafasi ya tano na pointi 28 na imecheza mechi 19.Utakuwa Uwanja wa Gwambina Complex.

KMC iliyo nafasi ya 6 na pointi 25 baada ya kucheza jumla ya mechi 19 inakutana na Mwadui FC iliyo nafasi ya 18 na pointi 15 baada ya kucheza jumla ya mechi 19. Utakuwa ni Uwanja wa Uhuru.

Kinara wa Ligi Kuu Bara Tanzania ni Yanga ana pointi 45 baada ya kucheza jumla ya mechi 19.

BIASHARA UNITED YATAKA KUFANYA BIASHARA NA SIMBA SALAH NI NAMBA MOJA KWA UTUPIAJI

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply