kimataifa

BARCELONA WANYOOSHWA NA PSG

admin February 17, 2021 9:47 am

 


LICHA ya kutupia bao la Kwanza mapema dakika ya 27 kwa mkwaju wa penalti,kupitia kwa Lionel Messi bado alikubali kichapo cha mabao 4-1 mbele ya PSG, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Ulaya,  hatua ya 16.


Kylian Mbappe alitupia hat trick dakika ya 32,65 na 85 na msumari mmoja kwa PSG ulipachikwa na Moise Kean.


Wakiwa uwanja wao wa nyumbani, Camp Nou walipiga jumla ya mashuti 12 na manne yalilenga lango huku PSG wakipiga jumla ya mashuti 16 na 9 yalilenga lango.

SIMBA YAANZA SAFARI KUELEKEA MUSOMA KUIFUATA BIASHARA UNITED YANGA KUFANYA SHEREHE LEO KWA MKAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply