Azam FC

MITAMBO HII YA KAZI NDANI YA AZAM FC KUIKOSA MBEYA CITY

admin February 18, 2021 7:47 am


 IKIWA leo Azam FC itakuwa nyumbani kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Mbeya City, nyota wawili wataukasa mchezo wa leo.

Nyota hao ni pamoja na Salum Abubakr,’Sure Boy’ ambaye ameshtua nyonga pamoja na Frank Domayo.

Domayo ambaye ni kiungoyeye ni majera ya goti yanamsumbua na atakaa nje ya uwanja kwa muda wa mwezi mzima kabla ya kureja uwanjani.

Mbeya City inaingia kwenye mchezo wa leo Uwanja wa Azam Complex ikikumbuka kwamba mchezo wa kwanza Uwanja wa Sokoine ilipoteza kwa kufungwa bao 1-0.

Timu ya Azam FC inaingia uwanjani ikiwa inakumbuka kwamba iliacha jumla pointi tatu pale Mkwakwani, Tanga kwa kufungwa mabao 2-1 dhidi ya Coastal Union.

SIMBA KUKOSA NYOTA WAKE WAWILI KIKOSI CHA KWANZA LEO HONGERA ISSA NGOAH,KAZI BADO NZITO KWA WANA IHEFU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply