Home Simba SC WAARABU WA MISRI WASEPA BONGO MAZIMA BAADA YA KUPOTEZA KWA KUFUNGWA BAO...

WAARABU WA MISRI WASEPA BONGO MAZIMA BAADA YA KUPOTEZA KWA KUFUNGWA BAO 1-0 DHIDI YA SIMBA


KLABU ya Al Ahly ya Misri baada ya kupoteza mchezo wa leo kwa kufungwa bao 1-0 dhidi ya Simba Uwanja wa Mkapa wameanza safari ya Kurejea Misri.

Simba ilishinda bao dakika ya 30 kupitia kwa Luis Miquissone ambalo lilidumu mpaka dakika ya 90, Uwanja wa Mkapa.

SOMA NA HII  KOCHA GOMES, MWENDO WA PASI TATU BAO