Home Authors Posts by admin

admin

22325 POSTS 5 COMMENTS

KWA HILI LA MIQUISSONE NA NTIBAZONKIZA….IPO SIKU SIMBA ‘KITANUKA’….

0
Viungo wawili wa Simba, Luis Miquissone na Saidi Ntibazonkiza ‘Saido’ chini ya Kocha Mkuu, Roberto Oliveira kuna namna wanazidi kuiva chungu kimoja kutokana na...

HATIMA YA TANZANIA KUANDAA AFCON 2027 KUJULIKANA WIKI IJAYO…

0
Pamoja CAF
Hatma ya maombi ya Tanzania, Kenya na Uganda kuandaa Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika (AFCON 2027) itajulikana Jumatano (Septemba 27) katika mkutano...

HILI HAPA DONGO LA SHAFFIH DAUKA KWA MASHABIKI WA SIMBA NA...

0
Mchambuzi nguli wa masuala ya soka nchini, Shaffih Dauda amewaponda baadhi ya mashabiki wa Klabu ya Simba ambao wamekuwa na tabia ya kulalamika kuwa...

JEMEDARI SAID:- KWA HILI LA NTIBAZONKIZA….TFF WAMEJITIA AIBU MNOOO…

0
Picha ya juu ilipigwa tarehe 6. Juni. 2023 Chamazi Complex, ilikuwa baada ya mchezo Simba SC na Polisi Tanzania. Matokeo yalikuwa ushindi wa bao 6-1...

KISA SARE NA ALGERIA JUZI……TAIFA STARS YAPAAA FIFA…

0
Tanzania imepanda kwa nafasi mbili katika viwango vya ubora wa Shirikisho la Vyama vya Mpira wa Miguu Duniani (FIFA) kwa mwezi Septemba. Ushindi wa bao...

WIKIEND INAKUJIA NA ODDS BOMBA KUTOKA MERIDIANBET….CHAKUFANYA KWAKO NI HILI…

0
Ligi mbalimbali barani Ulaya zinaendelea wikendi hii na pesa ipo ndani ya Meridianbet na kule kuna ODDS KUBWA, machaguo zaidi ya 1000 na mengine...

HII TAARIFA MPYA KUHUSU HALI YA INONGA…..KUWAKOSA WAZAMBIA…

1
BEKI wa Simba, Hennock Inonga hatokuwa sehemu ya mechi ya marudiano ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Power Dynamos ya Zambia ya kufuatia...

MCHAMBUZI:- KIPA MWARABU SIMBA BADO SANA…ANAKOSA BAADHI YA VITU…

0
Mchambuzi wa masuala ya soka nchini kupitia East Africa Radio, Abissay Stephen amesema kuwa kipa mpya wa Simba SC, Ayoub Lakred bado hajawa na...

WAKATI BALEKE AKIANZA MBIO MAPEMA…KIPA MPYA SIMBA APEWA ONYO…

2
Ligi Kuu ya NBC imekamilisha mzungungo wa tatu na mpaka sasa tayari rekodi zimeanza kuwekwa kwa timu na wachezaji. Hii ndio orodha ya waweka nyavu...

KISA RAFU YA INONGA JANA….SIMBA WATOA TAMKO HILI…

0
Mwenyekiti wa klabu ya Simba Murtaza Mangungu amedai kuwa Mchezaji wao Henock Inonga ameumizwa kwa makusudi na Mchezaji wa Coastal Union Haji Ugando katika...