LATEST ARTICLES

AWESO AWA GUMZO KENYA

0
KIUNGO wa Kimataifa wa Tanzania, Awesu  Awesu, ametambulishwa rasmi kama mchezaji mpya wa klabu ya Police Kenya FC, hatua inayomfungulia ukurasa mpya katika safari...

ANZA SAFARI YA SAMSUNG 26 NA SUPER HELI

0
Cheza leo Super Heli, mchezo unaokuletea msisimko wa kila sekunde. Hapa, kila hatua unayopiga ni hatua moja karibu na zawadi kubwa. Meridianbet inakualika kujiunga na...

USHINDI UNAANZIA HAPA NYUMBANI

0
Nafasi ya ushindi hii hapa na wakali wa Meridianbet ambapo kupitia promosheni ya Beti Online unaweza ukaondoka na Samsung A26. Weka dau lako kuanzia...

JEURI NYINGINE YAREJEA YANGA

0
KIUNGO wa Yanga, Mudathir Yahaya, na mshambuliaji Clement Mzize, wameanza kuonekana tena uwanjani baada ya kupona majeraha yaliyokuwa yakiwasumbua kwa muda. Kurudi kwao kambini kumeongeza...

NAJJAR AIVURUGA YANGA VIBAYA

0
MENEJA Mkuu wa Singida Black Stars, Othmen Najjar, ameonekana kulivuruga benchi la ufundi la Yanga baada ya kuchukua uamuzi wa kumrejesha kiungo Marouf Tchakei...

SIMBA NAFASI TANO KUIMARISHA KIKOSI

0
KOCHA Mkuu wa Simba SC, Steve Barker, ameweka wazi mpango wa usajili wa klabu hiyo katika dirisha dogo la mwezi Januari, amesisitiza  kuwa timu...

SIKU YA USHINDI NA MERIDIANBET IMEFIKA

0
Je unajua kuwa siku ya leo ni nzuri sana endapo utabashiri jamvi lako na Meridianbet?. ODDS KUBWA na machaguo zaidi ya 1000 yapo hapa....

GOCALVES ATAKA KIKOSI KAMILI, HAKUNA MASIHARA

0
KOCHA Mkuu wa Yanga, Pedro Gocalves ameweka msimamo mkali kuhakikisha timu yake inaingia kwenye fainali ya Kombe la Mapinduzi ikiwa katika ubora wa hali...

SIMBA YAREJEA KAMBINI KUJIANDAA

0
KIKOSI cha Simba SC kimeanza rasmi maandalizi yake leo  Jumapili, Januari 11, 2026 uwanja wa Mo Simba Arena, kikielekeza nguvu kwenye michuano ya Ligi...

UKUTA WA SINGIDA UNAVUJA, KOCHA ATIA NENO

0
SINGIDA Black Stars imeondoshwa hatua ya nusu fainali ya Kombe la Mapinduzi 2026, huku safu yao ya ulinzi ikionekana kutokuwa imara katika kujilinda. Timu hiyo...