Uncategorized

SIMBA WAZIPIGIA HESABU POINTI ZA MTIBWA SUGAR

admin February 11, 2020 7:27 am


KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck amesema kuwa wapo tayari kusepa na pointi tatu muhimu mbele ya Mtibwa Sugar leo Uwanja wa Jamhuri.

Sven raia wa Ubelgiji mchezo wake uliopita Uwanja wa Uhuru alichapwa bao 1-0 na JKT huku Mtibwa Sugar iliyo chini ya Zuber Katwila ikipoteza mbele ya Lipuli kwa kufungwa bao 1-0 Uwanja wa Ghairo.

Mbelgiji huyo amesema kuwa kila kitu kipo sawa ana matumaini yake ni kupata pointi tatu muhimu.

“Wachezaji wana morali kubwa na kila kitu kipo sawa imani yangu ni kuona tunafikia malengo ya kupata pointi tatu muhimu,” amesema.

Simba ipo nafasi ya kwanza baada ya kucheza mechi 20 imefikisha jumla ya pointi 50. 

HIKI NDCHO KINACHOMPA KIBURI EYMAEL KUSEPA NA POINTI TATU ZA MBEYA CITY LIGI KUU BARA LEO IMECHI ZAKE HIZI HAPA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply