Uncategorized

NAHODHA MPYA WA YANGA HUYU HAPA, ARITHI KITAMBAA CHA AJIBU

admin July 27, 2019 12:35 am

PAPPY Tshishimbi, kiungo wa Yanga amekabidhiwa kitambaa cha unahodha ndani ya kikosi hicho kilichoweka kambi mkoani Morogoro.

Kiungo huyo amekabidhiwa kitambaa hicho ambacho kilikuwa mikononi mwa Ibrahim Ajib ambaye amejiunga na Simba ambaye aliuchukua mikononi mwa Kelvin Yondani.

Kambi ya Yanga imeanza Julai 7 na bado inaendelea na kambi hiyo kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao na michuano ya kimataifa.

Mratibu wa Yanga, Hafidh Saleh amesema kuwa wamekubalaina na uongozi kumpa kitambaa hicho kwa muda mpaka pale Zahera atakapowasili nchini.

MASHABIKI WAITWA UWANJA WA TAIFA AGOSTI 28 KUIPA SAPOTI TIMU YA TAIFA KABLA LIGI KUU BARA HAIJAANZA, RATIBA YA LIGI KUU BARA KUFANYIWA MABADILIKO

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6131

Leave a Reply