Uncategorized

MASHABIKI WAITWA UWANJA WA TAIFA AGOSTI 28 KUIPA SAPOTI TIMU YA TAIFA

admin July 26, 2019 6:56 pm

CLIFORD Ndimbo, Ofisa Habari wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) amesema kuwa ni wakati wa mashabiki kujitokeza kwa wingi Agosti 28 kuipa sapoti timu ya Taifa.

Taifa Stars itamenyana na Kenya Agosti 28 uwanja wa Taifa mchezo wa kufuzu michuano ya Chan uwanja wa Taifa.

Akizungumza na Saleh Jembe, Ndimbo amesema kuwa ni wakati wa Taifa kuungana kuipa sapoti timu ya Taifa.

“Timu ni yetu sote na tunapaswa kuipa sapoti kwa kujitokeza kwa wingi kuona namna timu itakavyopambana.

“Morali ni kubwa kwa kila mmoja na timu inaendelea salama kwa kufanya mzoezi uwanja wa Bocco na sasa wamehamia uwanja wa Taifa,” amesema.

YONDAN ANA BALAA, KAMBI YA SIMBA YAZIDI KUNOGA NI KESHO NDANI YA CHAMPIONI JUMAMOSI NAHODHA MPYA WA YANGA HUYU HAPA, ARITHI KITAMBAA CHA AJIBU

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6170

Leave a Reply