HUU HAPA ‘MLIMA WA MIIBA’ WA SINGIDA BS CAF MSIMU HUU…WAKIPITA TU WAMETOBOA….
NI wazi kuwa Singida Black Stars ambayo kwa mara ya kwanza tangu kuanzishwa kwake miaka tisa iliyopita wakati huo ikiitwa Ihefu SC, ina mlima...
HIZI SAA 24 ZA MOTO NDANI YA LIGI KUU YA NBC ….SIMBA, YANGA KUANGALIA...
MASHABIKI wa soka nchini, wanatarajiwa kuendelea kupata uhondo wa Ligi Kuu Bara inayorejea baada ya kusimama kwa muda, huku kukiwa na vita nzito ya...
KUHUSU TUZO ZA CAF….MZIZE AWAPIGIA MAGOTI MASHABIKI YANGA….NIPIGIENI KURA JAMANI….
MSHAMBULIAJI nyota wa Yanga aliyefanyiwa upasuaji wa goti na kumfanya awe nje kwa muda mrefu, Clement Mzize amelizungumzia bao alilowatungua TP Mazembe katika makundi...
LIGI KUU NBC:…SIMBA, YANGA KUTOKA KWA STAILI ZA KIBABE WEEKEND HII….
WEKUNDU wa Msimbazi Simba na watani zao Yanga wanarudi Uwanjani Jumamosi na Jumapili katika michezo ya Ligi Kuu baada ya mara ya mwisho kutoka...
KELVIN JOHN TENA…..AKIZINGUA NA HAPA NDIO BASI …
KAIMU Kocha Mkuu wa timu ya taifa ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Miguel Gamondi, ametangaza kikosi cha wachezaji 23 watakaoingia kambini kujiandaa na mchezo wa...
‘MBAPPE’ WA AZAM FC MAMBO NI ‘FULL NONDO’…..
BAADA ya kuwa nje ya uwanja kwa takribani miezi miwili akiuguza majeraha ya goti, kiungo mshambuliaji wa Azam FC, Cheickna Diakite ‘Mbappe’ amerejea mazoezini...
BURUDIKA NA MSISIMKO WA HALLOWEEN UKICHEZA GATES OF HALLOWEEN…
Msimu huu wa Halloween, Meridianbet wanakualika kuingia katika sherehe ya ushindi na msisimko kupitia mchezo wao wa kipekee wa Gates of Halloween. Hii ni...
TENGENEZA PESA ZA KIRAHISI NA MERIDIANBET LEO……
Je unajua kuwa kuna pesa ya kutosha kabisa leo hii ukitengeneza jamvi lako na Meridianbet?. Pesa zipo nyingi sana endapo wewe utaamua kutengeneza jamvi...
‘KISU’ KUMWEKA MZIZE MIEZI MIWILI KITANDANI….UKWELI WA MAMBO HUU HAPA…
MSHAMBULIAJI wa Yanga Clement Mzize amefanyiwa upasuaji wa goti utakaomweka nje wiki 8 hadi 10 ambayo ni sawa na miezi miwili mpaka mitatu.
Mzize aliumia...
HIKI HAPA KIPIMO CHA KWANZA CHA GAMONDI TAIFA STARS….AKIVUKA TU ANALAMBA SHAVU….
BAADA ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kumtangaza Miguel Gamondi kuwa Kaimu Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa, Taifa Stars, ataanza kibarua...









