LATEST ARTICLES

BENCHIKHA ABEBA WINGA

0

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

BENCHIKHA TULISTAHILI USHINDI

0

benchikha afunguka yaliyotokea botswana baada ya kulazimishwa sare na wenyeji wao katika michuano ya caf

KOCHA WYDAD HALI SI SHWARI TENA

0

Uongozi wa Klabu ya Wydad Ac ya Morocco muda wowote unaweza kumfuta kazi kocha wao Mkuu Adel Ramzi. Taarifa inathibitisha kuwa muda wowote kuanzia Sasa na hii ni baada ya kufungwa mechi mbili mfululizo za makundi katika ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Jwaneng Galaxy na Asec Mimosas, Uongozi wa Juu wa klabu hiyo Ukiongozwa na Mwenyekiti wao Naciri Umepanga kukutana...

CHAMPIONSHIP MUAMUZI AZUA GUMZO…ISHU IKO HIVI

0

Mwamuzi wa kati Selugwani Shija ameleta gumzo kwenye Ligi ya Championship jana katika mchezo kati ya Biashara United ya Maea dhidi ya Mbeya City katika Uwanja wa Nyamagana, Mwanza. Mchezo huo wa mzunguko wa tisa umechezwa jana Novemba 3, 2023 saa 10:00 jioni. ukiambatana na mvua na Biashara akaibuka na ushindi wa mabao 2-1. Tukio lilotea gumzo uwanjani ni baada ya...

JINSI PACOME ALIVYOINUSURU YANGA KWENYE HATARI YA WARABU

0

Yanga imeondoka na pointi moja baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Al Ahly kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam mchezo wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Huu ni mchezo wa pili wa hatua ya makundi kwa Yanga iliyo Kundi D baada ya ule wa kwanza kupoteza jijini Algers, Algeria kwa mabao 3-0...

SIMBA NA MZIMU WA SARE ULIOKITA MIZIZI MSIMBAZI

0

Mzimu wa sare umeendelea kuiandama Simba baada ya jana Jumamosi (Desemba 2, 2023) kushindwa kutamba katika mchezo wa pili wa hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia kulazimishwa suluhu na Jwaneng Galaxy ya Botswana kwenye Uwanja wa Obed Itani Chilume. Simba iliingia katika mchezo huo wa kundi B ikihitaji ushindi baada ya mchezo wa kwanza wa hatua hiyo...

YANGA SC YAJITAFUTA YAIBANA AL AHLY DAR…..PACOME MTU SANA

0

Habari mwanamichezo mwenzangu kutoka Dar es salaam leo ni asubuhi nyingine nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika magazeti ya michezo

MACHESTER CITY DHIDI YA TOTTENHAM NOTO UTAWAKA…

0
Meridianbet

Jumapili hii itapigwa mechi ya kiume sana pale katika dimba la Etihad ambapo klabu ya Manchester City itakua nyumbani kuwakaribisha klabu ya Tottenham Hotspurs kutoka kule jijini London. Mchezo kati ya Manchester City mara nyingi ni moja ya michezo mikali katika ligi kuu ya Uingereza na hii inatokana na ubora ambao wamekua nao vilabu hivi, Hivo mchezo wa kesho unatarajiwa...

YANGA SIMBA HAKUNA KUZUBAA KIMATAIFA

0
Mashabiki wa Simba na Yanga

Simba na Yanga zinapaswa kupambana hadi tone la mwisho la damu leo katika mechi zao za raundi ya pili ya hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika katika viwanja na miji tofauti Afrika ili kila moja ivune ushindi mabao utaweka hai matumaini ya kuingia hatua ya robo fainali ya mashindano hayo msimu huu. Kitendo cha kila moja kutopata ushindi...

UNAAMBIWA YANGA WAMESHASAHAU MATOKEO YA ALGERIA

0

Nahodha wa Yanga, Bakar Mwamnyeto amesema wamesahau matokeo ya Algeria na leo ni kazi moja tu kuhakikisha timu hiyo inapata ushindi. “Sisi kama wachezaji tumejipanga vizuri tayari kwa ajili ya kuhakikisha tunaopata ushindi nyumbani, hiyo ni lazima. Tumejipanga na makosa yote ya mechi ya kwanza tumeyafanyia kazi na Inshallah kwa jinsi tulivyojipanga ni kuona tunashinda,” alisema Mwamnyeto ambaye hakucheza mchezo...