FEISAL SALUM “”FEI TOTO” ATENGWA NA KIKOSI…ANAPEWA MAZOEZI PEKE YAKE
Kiungo wa Yanga na timu ya Taifa, Taifa Stars, Feisal Salum 'Fei Toto' amepewa mazoezi maalumu kwa ajili ya kumuongezea fitinesi kuelekea kwenye mchezo wa leo dhidi ya Uganda. Stars leo itakuwa mgeni wa Uganda kwenye Uwanja wa Suez Canal, mjini Ismailia nchini Misri ukiwa ni mchezo wa kuwania kufuzu Afcon. Kumbuka Desemba mwaka jana Fei Toto alitangaza kuvunja mkataba wake...
WAZIRI “MWANA FA:- AWAFUNGA MDOMO TFF…NDONDO CUP 2023 ITAFANYIKA
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamisi Mwinjuma 'Mwana FA' amesema kuwa Mashindano ya Ndondo Cup yanayoratibiwa na mtangazaji Shaffih Dauda yatafanyika. Kauli ya kiongozi huyo wa Serikali imekuja ikiwa ni siku moja baada Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kusema kuwa shindano hilo halijapata kibali cha mamlaka hiyo ili liweze kufanyika. Mwana FA amesema jambo hilo halina ugumu wowote kwani...
HAYA HAPA MAGOLI YA AJABU YALIYOFUNGWA LIGI KUU TANZANIA
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa The Tigers Queens ya Arusha baada ya kupokea kipigo kingine kikubwa jana kwenye Ligi Kuu ya Wanawake Tanzania Bara. Tigers imefungwa mabao 4-1 na Alliance Girls katika mchezo wa raundi ya 12 ya ligi hiyo ambao umepigwa jana kwenye Uwanja wa Nyamagana, Mwanza baada ya kuahirishwa juzi. Mabao ya Alliance yamefungwa na Winfrida Charles aliyepachika kambani...
NYOTA HAWA WA YANGA SC…KUIKOSA MECHI NA TP MAZEMBE…NI PIGO KWA NABI
Kumekuwa na stori nyingi kwenye mitandao ya kijamii kuwa Yanga itawakosa wachezaji wake wengi kwenye mchezo ujao wa Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya TP Mazembe nchini Congo. Hii inatokana na kile kinachoelezwa kuwa ni kutokana na kupata kadi mbili za njano katika michezo miwili inayofuatana ya michuano hiyo. Kwa mujibu wa kanuni za mashindano ya CAF, mchezaji atakosa mchezo unaofuata...
MOHAMMED HUSSEIN “TSHABALALA”…NALIAMINIA JESHI LANGU…MECHI NA UGANDA TUTASHINDA
Beki wa Kushoto wa Simba SC Mohamed Hussein 'Tshabalala' ameitakia kila la kheri timu ya taifa ya Tanzania 'Taifa Stars' ambayo baadae leo Ijumaa (Machi 24) itacheza mchezo wa Mzunguuko watatu wa Kundi F, kuwania kufuzu Fainali za Mataifa ya Afrika 'AFCON 2023' dhidi ya Uganda. Taifa Stars itakuwa ugenini nchini Misri ikicheza dhidi ya wenyeji wao The Cranes iliyochagua mchezo...
MOHMMED HUSSEIN “TSHABALALA” NA KIBU DENNIS…WAPIGWA OUT SIMBA
Wachezaji tegemeo ndani ya kikosi cha Simba, Kibu Denis na Mohammed Hussein 'Tshabalala' wanatarajiwa kuukosa mchezo dhidi ya Raja Casablanca. Simba ambayo ipo nafasi ya pili katika Kundi C la Ligi ya Mabingwa Afrika, itavaana dhidi ya Raja Casablanca ukiwa ni mchezo wa mwisho wa hatua hiyo utakaopigwa ugenini huko Morocco. Taarifa ambazo imezipata Spoti Xtra, kutoka ndani ya Benchi la...
USAJILI YANGA: YAMFUATA MSHAMBULIAJI RASTA…NABI ASISITIZA
Wakati mabosi wa timu ya Ihefu FC, wakiendelea kujiridhisha na uwezo wa straika wao mwenye rasta raia wa Burkina Faso, Yacouba Sogne, mabosi wake wa zamani Yanga, wanadaiwa kurejesha nia ya kumsajili kwenye dirisha kubwa lijalo ili akaongeze nguvu kwa Fiston Mayele na Kennedy Musonda. Tangu ajiunge na Ihefu, Yacouba amefanikiwa kufunga mabao mawili na kutoa asisti moja huku akitwaa tuzo...
KOCHA YANGA AMPIGA CHINI MCHEZAJI MMOJA…KIKOSI CHA KWANZA
Upo uwezekano mkubwa wa Kocha Mkuu wa Yanga, Mtunisia Nasreddine Nabi kumuondoa beki mmoja wa kati katika kikosi chake cha kwanza na kumuingiza Ibrahim Hamad 'Bacca'. Mabeki wa kati wa Yanga ni Bakari Mwamnyeto, Dickson Job ambaye yeye katika mchezo wa juzi dhidi ya US Monastir alianzia benchi. Wakati Bacca akimtoa beki huyo mmoja, Mamadou Doumbia raia wa Mali yeye bado...
YANGA YATOA SIRI NZITO USAJILI WA MUSONDA…ULE NI USAJILI WA KIMKAKATI
Uongozi wa Yanga umeweka wazi kuwa usajili wa nyota wa Zambia, Kennedy Musonda ni wa kimkakati kutokana na jicho lake kwenye kufunga. Musonda ameibuka ndani ya Yanga akitokea kikosi cha Power Dynamo ya Zambia ikiwa ni moja ya usajili wa dirisha dogo uliojibu kwenye anga la kimataifa. Ni mabao mawili kafunga mwamba huyo, alianza kutupia dhidi ya TP Mazembe kisha US...
MAGAZETI: YANGA YAIMALIZA TP MAZEMBE KIMAFIA…CHAMA AINGIA ANGA ZA SAMATTA
March 24, 2023,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya leo Tanzania