KUELEKEA CHAN…..TAIFA STARS YAKIMBILIA MISRI ‘KUVUNJA NAZI’….
KIKOSI cha Timu ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars Julai 08 2025 kiliingia kambini Dar es Salaam kisha alfajiri ya kuamkia Julai 9 kimekwea pipa kuelekea nchini Misri kwa ajili ya kambi ya wiki tatu. Hivyo kuelekea CHAN mambo ni moto na maandalizi yanaendelea kwa kasi ikiwa ni mwendelezo wa ukarabati wa Uwanja wa Mkapa ambao upo tayari kwa asilimia...
HUYU HAPA MVP WA IVORY COST ALIYEZIGONGANISHA SIMBA, YANGA…..KESI KUFIKISHWA FIFA….
HUENDA hii isiwe taarifa nzuri kwa mashabiki wa Yanga ambao walikuwa wakianza kuchekelea chinichini baada ya kuwahabarisha juu ya dili la straika wa ASEC Mimosas na MVP wa Ligi Kuu ya Ivory Coast (Ligue 1), Celestin Ecua lililobaki hatua chache kabla ya kutua Jangwani. Ndio, Yanga inadaiwa kuwa ipo hatua nzuri ya kumnasa Ecua aliyehusika na mabao 27 katika mechi...
KUHUSU ISHU YA AZIZ KI KUTAKIWA KUTEMWA WYDAD…..YANGA WAWAPA JIBU HILI WAARABU….
BAADA ya kucheza dakika 11 kwenye mechi mbili za Kombe la Dunia la Klabu dhidi ya Manchester City na Juventus, kiungo mshambuliaji wa Wydad, Stephane Aziz KI huenda asiwe sehemu ya kikosi hicho msimu ujao huku ikielezwa ili abaki kuna ishu anaisikilizia. Wydad ilicheza mechi tatu za michuano hiyo na kuondolewa hatua ya makundi bila ushindi ikianza na kichapo cha...
BETI YAKO UNAMPA NANI? PSG VS REAL MADRID…
Nusu fainali kali kabisa kupigwa leo katika dimba la MetLife kati ya PSG vs Real Madrid. Fursa ipo mikononi mwako leo ukibashiri mechi hii kwa GG&3+ huku ukiongeza mechi zako zingine na kushinda zawadi kedekede ikiwemo bonasi. Ni siku ya PSG kulipa kisasi kwa mabingwa hawa wa Ulaya mara 15 huku kikosi cha Luis Enrique kikiwa na hamu ya kuchukua...
EXPANSE TOURNAMENT IMERUDI KWA KISHINDO NA ZAWADI ZA JUU KUTOKA MERIDIANBET…
Meridianbet inakuletea promosheni ya kipekee ya Expanse Tournament, shindano la kusisimua la michezo ya sloti linalofanyika kuanzia tarehe 08 Julai hadi 22 Julai 2025. Katika kipindi hiki, wachezaji watakaokua nafasi za juu watapata zawadi mbalimbali, ikiwemo pesa taslimu na mizunguko ya bure, huku jumla ya zawadi zikiwa zaidi ya TZS 2,000,000. Ili kushiriki, unahitajika kuwa na akaunti halali ya Meridianbet...
MAISHA YA CAMARA SIMBA HATARINI….MABOSI WAVUTANA ‘ABAKI AU ASEPE’….
MAISHA yanaenda kasi sana unaambiwa, kwani kuna mambo nyakati flani msimu uliopita usingeweza kufikiria iwapo yangeibuka sasa na kutibua mioyo ya mashabiki wa Simba na hata viongozi. Wakati msimu wa 2024/25 unaanza Simba haikuwa na malengo makubwa, ikitembea na kauli kwamba inajenga timu mpya kwa ajili ya kuja kuitumia kutikisa Bara na Afrika miaka michache ijayo, ikifuata nyayo za watani...
BONASI YA KIBABE KUTOLEWA UKIBASHIRI NA GG&3+…
Je unajua kuwa Jumanne ya leo unaweza ukajipatia bonasi ya kibabe ndani ya Meridianbet kwenye mtanange huu wa Nusu Fainali ya Kombe la Dunia kati ya Fluminense vs Chelsea. Bashiri kwa GG&3+ na upate bonasi ya uhakika hapa. Kila timu inatupia jicho kucheza Fainali ya michuano hii ambayo safari hii imekuja kwa njia nyingi kabisa ikishirkisha vilabu kadhaa kutoka mabara...
BAADA YA DEAL LA MOKWENA KUSHINDIKANA….KOCHA MPYA YANGA HUYU HAPA…JAMAA NI MASTER..
MEZANI kwa mabosi wa Yanga kwa sasa kuna majina mawili ya makocha wanaopigiwa hesabu, mmoja aje kuinoa timu hiyo kuziba nafasi ya Miloudi Hamdi aliyetua Ismailia ya Misri, lakini kuna jambo linaloweza kuwa na faida kwa klabu hiyo mara atakaposhuka kocha Mfaransa. Hamdi aliyeipa Yanga mataji matatu ndani ya siku 148 alizokaa na timu hiyo tangu Februari 4 hadi Julai...
MASHINE MPYA YA MABOA YANGA HII HAPA….DILI LAKE MPAKA SASA LIPO HATUA HII…
PALE Jangwani mambo ni moto! Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu Bara wako mawindoni wakikamilisha kamilisha ishu zao za usajili kwa ajili ya msimu ujao wa mashindano, ambapo wameapa kwamba wanataka kuanzia walipoishia hapa nchini kwa kukomba kila kitu, lakini kule nje wakaupige mwingi Ligi ya Mabingwa Afrika. Kama unakumbuka kauli ya rais wa klabu hiyo, Hersi Said aliyoitoa mbele za...
TZS BILIONI 1.5 ZIPO MEZANI, JIUNGE NA LUCKY RUSH TOURNAMENT YA MERIDIANBET LEO
Kampuni namba moja ya ubashiri nchini Tanzania, Meridianbet, inawakaribisha wapenzi wa michezo ya kasino mtandaoni kwenye Lucky Rush Tournament, mchezo wa kipekee ambapo jumla ya TZS bilioni 1.5 zinagawiwa kwa washindi. Kuanzia tarehe 27 Juni hadi 3 Agosti 2025, kutakua na mashindano ya leaderboard matano na yatatoa fursa ya kushinda kwa wachezaji wote. Kila mzunguko wa mashindano una zawadi ya...