STAA YANGA:- PACOME ANATUMIA NGUVU NYINGI…CHAMA ANATUMIA AKILI NYINGI…ANAMCHAMBUA HADI KIPA

0
STAA YANGA:- PACOME ANATUMIA NGUVU NYINGI...CHAMA ANATUMIA AKILI NYINGI...ANAMCHAMBUA HADI KIPA

Staa wa zamani wa Yanga, Idd Moshi, ameingia katika mjadala ambao umekuwa ukiendelea tangu msimu huu uanze kwa mashabiki kila mmoja akiwalinganisha kwa mtazamo wake viungo hodari nchini, Clatous Chama wa Simba na Pacome Zouzoua wa Yanga. Viungo vipenzi vya mashabiki wa soka, Pacome na Chama, kila mmoja amefunga mabao saba kwenye Ligi Kuu Bara, na wote ni muhimu kwenye...

TANZANIA KUWA MWENYEJI WA AFCON…WAZIRI ATHIBITISHA…MIUNDOMBINU YA KISASA KUJENGWA

0
Habari za Michezo leo

Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Gerson Msigwa amewaomba Watanzania kuchangamkia fursa zitakazotokana na kuwa wenyeji wa Fainali za Mataifa ya Afrika 'AFCON 2027'. Tanzania kwa kushirikiana na nchi jirani za Kenya na Uganda zitakuwa wenyeji wa michuano hiyo mikubwa kuliko yote katika ngazi timu za taifa Barani Afrika mwaka 2027. Akizungumza katika Kongamano la Uwekezaji kati ya...

AzAM FC YAPATA PIGO KUBWA…MCHEZAJI HUYU KUONDOKA…KUSAJILI MASHINE HII MPYA

0
Habari za Simba leo

Klabu ya El Merrikh inampango wa kumrejesha Mlinda lango wake anayekipiga Kwa Mkopo wa nusu msimu ndani ya Klabu ya Azam, Mohammed Mustafa mwishoni mwa Msimu huu. Wakati huo tayari Klabu ya Azam Imekamilisha mazungumzo na Mlinda lango wa klabu ya Tabora United raia wa Nigeria John Noble ambaye anatarajiwa kujiunga nao Msimu Ujao baada ya kumalizika kwa kandarasi yake...

MBUNGE:-“MNA CHAMA NA PACOME SISI TUNA MAMA SAMIA…AMEZUNGUMZA HAYA BUNGENI

0
Habari za Michezo leo

Mbunge wa Jimbo la Mvumi mkoani Dodoma, Livingstone Lusinde amesema Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kutajwa kwa sababu ndiye mmiliki wa maendeleo ya nchi. Lusinde amesema hayo Bungeni jijini Dodoma wakati akichangia Bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) kwa mwaka wa Fedha 2024/2025. "Kuna baadhi ya wachambuzi wanachekesha wanasema watu wanamtaja sana Mhe. Samia...

KOMBE LA SHIRIKISHO KUFUTWA… RAIS CAF “SIKUWEKA PESA MAKUSUDI…AMEFUNGUKA HAYA

0
KOMBE LA SHIRIKISHO KUFUTWA... RAIS CAF "SIKUWEKA PESA MAKUSUDI...AMEFUNGUKA HAYA

Ishu ya Shirikisho la Soka barani Afrika (CAF), kutazamiwa kuyafuta mashindano yake ya pili kwa ukubwa ya Kombe la Shirikisho, kulingana na ripoti zilizopo, inaonekana kuzua mijadala kwa sasa katika mitandao ya kijamii. Kombe la Shirikisho Afrika ambalo lilianzishwa 2004 kutokana na kuunganishwa kwa Kombe la CAF na Kombe la Washindi muda wowote linaweza kutangazwa kufutwa kama alivyosema rais wa...

SIMBA YAINGIA MITINI…YANGA YAPATIWA USHINDI WA MEZANI…VURUGU WACHEZAJI NA POLISI

0
Habari za Michezo leo

Aprili 20, 2024, watani wa jadi wa soka la Tanzania, Yanga na Simba, watakutana katika muendelezo wa ligi kuu kwa msimu wa 2023/24. Watani hawa wanakutana kwa mara ya kwanza tangu Yanga amtambie Simba kwa kipigo cha mbwa mwizi cha 5-1, Novemba 5, 2023. Katika historia yao, wababe hawa wa soka la Bongo wameshakutana mara nyingi sana na kufungana mechi nyingi,...

RASMI AZAM FC YATOA TAMKO HILI…KUELEKEA MICHUANO YA KOMBE LA MUUNGANO

0
Azam FC

Klabu ya Azam FC yenye maskani yake Jijini Dar es Salaam imetibitisha kushiriki michuano ya Kombe la Muungano 2024. Kupitia taarifa Rasmi ya Klabu, Azam imeandika; "Tunathibitisha tutakuwa sehemu ya timu zitakazoshiriki michuano ya Kombe la Muungano, itakayoanza kutimua vumbi kuanzia Aprili 23 hadi 27, 2024, visiwani Zanzibar".

RAIS LA LIGA:- “ONYO BARCELONA HAMUWEZI KUNUNUA MCHEZAJI MNAYEMTAKA…MASTAA KUUZWA

0
RAIS LA LIGA:- "ONYO BARCELONA HAMUWEZI KUNUNUA MCHEZAJI MNAYEMTAKA...MASTAA KUUZWA

Rais wa La Liga, Javier Tebas amewaonya Mabingwa wa Soka nchini Hispania FC Barcelona, kwa kuwasisitiza hawawezi kumnunua mchezaji wanayemtaka, kuelekea mwishoni mwa msimu huu 2023/24. FC Barcelona imekuwa ikipita katika kipindi kigumu cha kiuchumi, hali ambayo inatajwa kuusukuma Uongozi wa klabu hiyo kufikiria kuwauza baadhi ya wachezaji ili kufidia changamoto wanazozipitia kwa sasa. Tebas amesisitiza kuwa Uongozi wa Klabu hiyo...

KUMBE SIMBA WAMEWEKA KAMBI ZANZIBAR KWA SABABU HII…KIBADENI AFUNGUKA A-Z

0
Habari za Michezo

Simba imeenda tena kuchukua maujanja Zanzibar kuelekea mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya Yanga utakaochezwa Jumamosi ya wiki hii kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kuanzia saa 11:00 jioni. Ni Kariakoo Dabi ambayo kila mmoja anaizungumzia kwa namna yake, lakini ndani ya uwanja, dakika tisini ndizo zitaamua matokeo ya mwisho nani atacheka na nani atalia au kama...

KUELEKEA DABI YA KARIAKOO…MABONDIA WAFUNGUKA HAYA…KIDUKU AZIKATAA SIMBA NA YANGA

0
KUELEKEA DABI YA KARIAKOO...MABONDIA WAFUNGUKA HAYA...KIDUKU AZIKATAA SIMBA NA YANGA

Tangu 1965 ikiwa imepita miaka 59, Simba na Yanga zimekutana mara 111 katika michezo ya watani wa jadi yaani 'Kariakoo Dabi'. Katika michezo hiyo, Yanga imeshinda zaidi - mara 39 wakati Simba ikishinda 32 na zimetoka sare mara 40. Aprili 20, mwaka huu, Simba na Yanga zinacheza mchezo wa 112 tangu zianze kukutana ambapo mchezo wa mwisho msimu huu katika Ligi...