Home Simba SC KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AL MERRIKH

KIKOSI CHA SIMBA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA AL MERRIKH

 


KIKOSI cha Simba kitakachoanza leo Machi 6 dhidi ya Al Merrikh, mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika,  hatua ya makundi.


Beno Kakolanya ndani ya Uwanja wa Al Hilal akichukua nafasi ya Aishi Manula ambaye alipata maumivu kwenye mchezo wa Ligi Kuu Bara dhidi ya JKT Tanzania, Uwanja wa Mkapa.


SOMA NA HII  DAKIKA KADHAA KABLA YA KARIAKOO DABI...BARBARA AIBUKA NA JIPYA KUHUSU MORRISON NA MKUDE...