Home Yanga SC KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA POLISI TANZANIA

KIKOSI CHA YANGA KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA POLISI TANZANIA


KIKOSI cha Yanga kitakachoanza leo Machi 7 dhidi ya Polisi Tanzania, mchezo wa Ligi Kuu Bara mzunguko wa pili,  Uwanja wa Sheikh Amri Abeid.


Metacha Mnata kipa namba moja baada ya kukosekana kwenye mechi mbili mfululizo leo amerejea tena kwenye milingoti mitatu, Nchimbi naye ndani.


 

SOMA NA HII  KUELEKEA DERBY YA KARIAKOO...BOKA ATAJA SIRI YA UBORA WAKE YANGA...