Ligi Kuu

FT: SIMBA 1-1 TANZANIA PRISONS

admin March 10, 2021 4:47 pm

 


UWANJA wa Mkapa


Simba 0-0 Tanzania Prisons

Dakika 45 zinaongezwa dk 3

Dakika ya 43, Jumane Elifadhil anaonyeshwa kadi nyekundu kwa kumchezea rafu Mzamiru Yassin 

Dakika ya 36 Luis anapiga kona ya pili haileti matunda kwa Simba baada ya Mugalu kupiga kichwa off target 

Dakika ya 34  Nurdin Chona anatoka anaingia Dotto kwa Prisons 

Dakika ya 32 mchezaji wa Prisons anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 28, Mugalu anakosa penalti 

Dakika ya 27 mwamuzi anatoa penalti kwa Simba

Dakika ya 25 Mugalu anachezewa faulo 

Dakika ya 24 Manula anaanzisha mashambulizi 

Dakika ya 20 Tshabalala anachezewa faulo na Jeremiah Juma

Dakika ya 18 Luis anapiga shuti linakwenda nje ya lango

Dakika 15 zinakamilika kwa timu zote kuwa sawa bila kufungana. Ni mpira wa nguvu nyingi na akili nyingi uwanjani

Dakika ya 14 Mzamiru anapewa huduma ya kwanza

Dakika ya 12 Jeremiah Juma anafanya jaribio nzuri akiwa nje ya 18 linaokolewa na Manula

Dakika ya 10 Prisons wanapeleka mashambulizi Simba 

Dakika ya 9 Mkude anacheza faulo

Dakika ya 6, Bwalya anafanya jaribio nje ya 18

Dakika ya 4, Wawa anacheza faulo

KIKOSI CHA TANZANIA PRISONS DHIDI YA SIMBA, UWANJA WA MKAPA SIMBA YACHEZESHWA PIRA GWARIDE KWA MKAPA WAKIGAWANA POINTI MOJAMOJA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply