CAF
VIDEO: IBENGE:TUMEKUJA KUCHEZA MPIRA
KOCHA Mkuu wa Klabu ya AS Vita, Florent Ibenge amesema kuwa amekuja Bongo kwa ajili ya kucheza mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya Simba.
Ibenge atakiongoza kikosi chake kesho Aprili kusaka pointi tatu mbele ya Simba Uwanja wa Mkapa, mchezo wa kwanza walipokutana DR Congo, ubao ulisoma AS Vita 0-1 Simba hivyo kesho AS Vita itakuwa inahitaji kulipa kisasi.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.