Simba SC
VIDEO: SIMBA WAWAFUATA WAARABU WAKIWA NA CHAKULA PAMOJA NA MATUNDA
KIKOSI cha Simba leo Aprili 7 kimeanza safari kuwafuata Al Ahly kikitokea Dubai baada ya jana Aprili 6 kuiacha ardhi ya Tanzania.
Wakati wanasepa Bongo walisindikizwa na neema ya mvua huku msafara huo uliojumuisha jumla ya watu 55 wakisepa na mabegi zaidi ya 20, vyakula pamoja na matunda, hivi ndivyo walivyoiacha Bongo
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.