Home Yanga SC EXCLUSIVE: YANGA WALIKUWA WA KWANZA KUITAKA SAINI YA PAWASA, KILICHOWASHINDA HIKI HAPA

EXCLUSIVE: YANGA WALIKUWA WA KWANZA KUITAKA SAINI YA PAWASA, KILICHOWASHINDA HIKI HAPA

BONIPHACE Pawasa nyota wa zamani wa kikosi cha Simba amesema kuwa timu ya kwanza ardhi ya Bongo ambayo ilikuwa inahitaji huduma yake ilikuwa ni Yanga kabla ya Simba kumfuata baadaye, ameweka wazi kwamba kilichowashinda watani hao wa jadi wa Simba ni kutimiza ahadi jambo ambalo lilimfanya aibuke Simba kwa kuwa Yanga walimuambia kwamba wanakwenda kujipanga.

 

SOMA NA HII  KUHUSU NANI ATAKUWA BINGWA MSIMU HUU...EDO KUMWEMBE AIBUKA NA HILI...AITAJA YANGA KWA SABABU HIZI...