Yanga SC

EXCLUSIVE: YANGA WALIKUWA WA KWANZA KUITAKA SAINI YA PAWASA, KILICHOWASHINDA HIKI HAPA

admin April 9, 2021 5:47 am

BONIPHACE Pawasa nyota wa zamani wa kikosi cha Simba amesema kuwa timu ya kwanza ardhi ya Bongo ambayo ilikuwa inahitaji huduma yake ilikuwa ni Yanga kabla ya Simba kumfuata baadaye, ameweka wazi kwamba kilichowashinda watani hao wa jadi wa Simba ni kutimiza ahadi jambo ambalo lilimfanya aibuke Simba kwa kuwa Yanga walimuambia kwamba wanakwenda kujipanga.

 

ARSENAL YAMPIGIA HESABU BEKI WA INTER MILAN GOMES: MORRISON ANAFANYA KAZI NILIYOMTUMA

Deprecated: File Theme without comments.php is deprecated since version 3.0.0 with no alternative available. Please include a comments.php template in your theme. in /home/sokalabo/public_html/wp-includes/functions.php on line 6260

Leave a Reply