Home Yanga SC TANZIA: METACHA MNATA AFIWA NA MTOTO WAKE

TANZIA: METACHA MNATA AFIWA NA MTOTO WAKE


 UONGOZI wa Klabu ya Yanga umetuma salamu za rabirambi kwa kipa wao Metacha Mnata ambaye amepata msiba wa mwanaye Brighton Boniface Metacha jana usiku.

SOMA NA HII  ISHU YA MAKAMBO KUSAJILIWA YANGA, ZAHERA ATAKA MKWANJA