Uncategorized
VIDEO: KIWANJA CHA SIMBA CHA BUNJU KINADAIWA KODI, WAPEWA SIKU 14
MAHAKAMA imetoa oda kwa Klabu ya Simba kuweza kulipa kodi ya ardhi ndani ya muda wa siku 14 ikiwa watashindwa kufanya hivyo oda imetolewa kwamba mali hiyo ambayo ni kiwanja cha Biunju kinaweza kuuzwa.
Leave a Reply
You must be logged in to post a comment.